2 Nya. 17:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Na Yehoshafati mwanawe akatawala mahali pake, akajitia nguvu juu ya Israeli.

2. Akaweka jeshi katika miji yote yenye maboma ya Yuda, akatia na askari walinzi katika nchi ya Yuda, na katika miji ya Efraimu, aliyoitwaa Asa babaye.

3. Naye BWANA alikuwa pamoja na Yehoshafati, kwa kuwa alikwenda katika njia za kwanza za Daudi babaye, asiyatafute mabaali;

2 Nya. 17