2 Nya. 16:2 Swahili Union Version (SUV)

Ndipo Asa akatoa fedha na dhahabu katika hazina za nyumba ya BWANA, na nyumba ya mfalme, akampelekea Ben-hadadi mfalme wa Shamu, aliyekaa Dameski, akasema,

2 Nya. 16

2 Nya. 16:1-11