2 Nya. 11:23 Swahili Union Version (SUV)

Akafanya kwa akili, akawatawanya wanawe wote kati ya nchi zote za Yuda na Benyamini, katika kila mji wenye boma; akawapa vyakula tele. Akawatafutia wake wengi.

2 Nya. 11

2 Nya. 11:17-23