2 Kor. 6:17-18 Swahili Union Version (SUV)

17. Kwa hiyo,Tokeni kati yao,Mkatengwe nao, asema Bwana,Msiguse kitu kilicho kichafu,Nami nitawakaribisha.

18. Nitakuwa Baba kwenu,Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike,asema Bwana Mwenyezi.

2 Kor. 6