2 Fal. 9:22 Swahili Union Version (SUV)

Ikawa, Yoramu alipomwona Yehu, akasema, Je! Ni amani, Yehu? Akajibu, Amani gani, maadamu uzinzi wa mama yako Yezebeli na uchawi wake ni mwingi?

2 Fal. 9

2 Fal. 9:13-23