2 Fal. 9:2 Swahili Union Version (SUV)

Utakapofika huko, mtafute Yehu, mwana wa Yehoshafati, mwana wa Nimshi, ukaingie, ukamtoe miongoni mwa ndugu zake, ukamchukue katika chumba cha ndani.

2 Fal. 9

2 Fal. 9:1-9