2 Fal. 8:4 Swahili Union Version (SUV)

Basi mfalme alikuwa akizungumza na Gehazi, mtumishi wa mtu wa Mungu, akinena, Uniambie, nakusihi, mambo makuu yote aliyoyafanya Elisha.

2 Fal. 8

2 Fal. 8:1-13