2 Fal. 8:26 Swahili Union Version (SUV)

Ahazia alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala; akatawala mwaka mmoja huko Yerusalemu. Na jina la mamaye aliitwa Athalia binti Omri mfalme wa Israeli.

2 Fal. 8

2 Fal. 8:19-29