2 Fal. 8:21 Swahili Union Version (SUV)

Basi akaenda Yehoramu mpaka Sairi, na magari yake yote pamoja naye. Akaondoka usiku, akawapiga Waedomi waliomzunguka yeye na maakida wa magari; na watu wakakimbilia hemani kwao.

2 Fal. 8

2 Fal. 8:13-22