2 Fal. 7:9 Swahili Union Version (SUV)

Ndipo wakaambiana, Mambo haya tufanyayo si mema; leo ni siku ya habari njema, na sisi tunanyamaza; mkingoja hata kutakapopambazuka, madhara yatatupata; basi twende tukawaambie watu wa nyumba ya mfalme.

2 Fal. 7

2 Fal. 7:1-12