2 Fal. 6:10 Swahili Union Version (SUV)

Mfalme wa Israeli akapeleka watu mpaka mahali pale alipoambiwa na yule mtu wa Mungu, na kuhadharishwa; akajiokoa nafsi yake, si mara moja, wala si mara mbili.

2 Fal. 6

2 Fal. 6:2-16