2 Fal. 5:27 Swahili Union Version (SUV)

Basi ukoma wa Naamani utakushika wewe, na wazao wako hata milele. Naye akatoka usoni pake mwenye ukoma kama theluji.

2 Fal. 5

2 Fal. 5:20-27