2 Fal. 4:7 Swahili Union Version (SUV)

Ndipo akaja akamwambia yule mtu wa Mungu. Naye akasema, Enenda ukayauze mafuta haya, uilipe deni yako; nayo yaliyosalia uyatumie wewe na watoto wako.

2 Fal. 4

2 Fal. 4:6-9