2 Fal. 3:17 Swahili Union Version (SUV)

Kwa kuwa BWANA asema hivi, Hamutauona upepo, wala hamtaiona mvua, ila bonde hilo litajaa maji; nanyi mtakunywa, ninyi, na ng’ombe zenu, na wanyama wenu.

2 Fal. 3

2 Fal. 3:13-26