2 Fal. 21:2 Swahili Union Version (SUV)

Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, sawasawa na machukizo ya mataifa, aliowafukuza BWANA mbele ya wana wa Israeli.

2 Fal. 21

2 Fal. 21:1-7