2 Fal. 20:12 Swahili Union Version (SUV)

Wakati huo Merodak-baladani mwana wa Baladani, Mfalme wa Babeli, alipeleka barua na zawadi kwa Hezekia; kwa maana alipata habari kwamba Hezekia ameugua.

2 Fal. 20

2 Fal. 20:8-15