2 Fal. 2:6 Swahili Union Version (SUV)

Eliya akamwambia, Tafadhali kaa hapa; maana BWANA amenituma niende mpaka Yordani. Akasema, Kama BWANA aishivyo, na roho yako iishivyo, sitakuacha. Wakaendelea mbele wote wawili.

2 Fal. 2

2 Fal. 2:1-15