2 Fal. 2:24-25 Swahili Union Version (SUV)

24. Akatazama nyuma akawaona, akawalaani kwa jina la BWANA. Wakatoka dubu wawili wa kike mwituni, wakawararua vijana arobaini na wawili miongoni mwao.

25. Akatoka huko akaenda mlima wa Karmeli, na toka huko akarudi mpaka Samaria.

2 Fal. 2