2 Fal. 2:23 Swahili Union Version (SUV)

Akakwea kutoka huko mpaka Betheli; naye alipokuwa akienda njiani, wakatoka vijana katika mji, wakamfanyizia mzaha, wakamwambia, Paa wewe mwenye upaa! Paa wewe mwenye upaa!

2 Fal. 2

2 Fal. 2:22-24