2 Fal. 19:9 Swahili Union Version (SUV)

Na aliposikia habari ya Tirhaka mfalme wa Kushi, ya kwamba, Tazama, ametoka ili kupigana nawe; alituma wajumbe kwa Hezekia mara ya pili, kusema,

2 Fal. 19

2 Fal. 19:1-11