2 Fal. 18:28 Swahili Union Version (SUV)

Kisha yule amiri akasimama akalia kwa sauti kuu kwa lugha ya Kiyahudi, akasema, Lisikieni neno la mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru.

2 Fal. 18

2 Fal. 18:21-29