2 Fal. 18:25 Swahili Union Version (SUV)

Je! Nimepanda mimi, ili kupigana na mahali hapa na kupaangamiza, bila shauri la BWANA? BWANA ndiye aliyeniambia, Panda upigane na nchi hii na kuiangamiza.

2 Fal. 18

2 Fal. 18:19-31