2 Fal. 15:9 Swahili Union Version (SUV)

Akafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA kama walivyofanya babaze; hakuyaacha makosa ya Yeroboamu mwana wa Nebati, ambayo kwa hayo aliwakosesha Israeli.

2 Fal. 15

2 Fal. 15:1-16