2 Fal. 15:30 Swahili Union Version (SUV)

Na Hoshea mwana wa Ela akafanya fitina juu ya Peka mwana wa Remalia, akampiga, akamwua, akatawala mahali pake, katika mwaka wa ishirini wa Yothamu mwana wa Uzia.

2 Fal. 15

2 Fal. 15:23-35