2 Fal. 13:8 Swahili Union Version (SUV)

Basi mambo yote ya Yehoahazi yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, na ushujaa wake, je! Hayakuandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Israeli?

2 Fal. 13

2 Fal. 13:7-11