2 Fal. 13:10 Swahili Union Version (SUV)

Katika mwaka wa thelathini na saba wa Yoashi mfalme wa Yuda, Yehoashi mwana wa Yehoahazi alianza kutawala juu ya Israeli katika Samaria, akatawala miaka kumi na sita.

2 Fal. 13

2 Fal. 13:2-15