2 Fal. 12:1 Swahili Union Version (SUV)

Katika mwaka wa saba wa Yehu, Yoashi alianza kutawala; akatawala miaka arobaini huko Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Sibia wa Beer-sheba.

2 Fal. 12

2 Fal. 12:1-9