2 Fal. 11:9 Swahili Union Version (SUV)

Nao wakuu wa mamia wakafanya sawasawa na yote aliyowaamuru Yehoyada kuhani; wakawatwaa kila mtu watu wake, hao watakaoingia sabato, nao watakaotoka sabato, wakaja kwa Yehoyada kuhani.

2 Fal. 11

2 Fal. 11:1-17