2 Fal. 11:12 Swahili Union Version (SUV)

Ndipo akamleta nje mwana wa mfalme, akamvika taji, na kumpa ushuhuda; wakamfanya mfalme, wakamtia mafuta; wakapiga makofi, wakasema, mfalme na aishi.

2 Fal. 11

2 Fal. 11:9-17