2 Fal. 10:31 Swahili Union Version (SUV)

Lakini Yehu hakuangalia, aende katika sheria ya BWANA, Mungu wa Israeli, kwa moyo wake wote; hakutoka katika makosa ya Yeroboamu, ambayo kwa hayo aliwakosesha Israeli.

2 Fal. 10

2 Fal. 10:23-36