1 Yoh. 3:22 Swahili Union Version (SUV)

na lo lote tuombalo, twalipokea kwake, kwa kuwa twazishika amri zake, na kuyatenda yapendezayo machoni pake.

1 Yoh. 3

1 Yoh. 3:21-24