1 Yoh. 2:28-29 Swahili Union Version (SUV) Na sasa, watoto wadogo, kaeni ndani yake, ili kusudi, atakapofunuliwa, mwe na ujasiri, wala msiaibike mbele zake