1 Tim. 5:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Mzee usimkemee, bali umwonye kama baba; na vijana kama ndugu;

2. wanawake wazee kama mama; wanawake vijana kama ndugu wa kike; katika usafi wote.

3. Uwaheshimu wajane walio wajane kweli kweli.

1 Tim. 5