1 Tim. 4:1 Swahili Union Version (SUV)

Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;

1 Tim. 4

1 Tim. 4:1-6