1 The. 5:27-28 Swahili Union Version (SUV) Nawaapisha kwa Bwana, ndugu wote wasomewe waraka huu. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi.