1 The. 5:24-28 Swahili Union Version (SUV) Yeye ni mwaminifu ambaye awaita, naye atafanya. Ndugu, tuombeeni. Wasalimuni ndugu wote kwa busu takatifu.