1 Sam. 30:8 Swahili Union Version (SUV)

Daudi akauliza kwa BWANA, akasema, Je! Nikiwafuata jeshi hili, nitawapata? Naye akamjibu, Fuata; kwa kuwa hakika utawapata, nawe hukosi utawapokonya wote.

1 Sam. 30

1 Sam. 30:1-13