1 Sam. 30:10 Swahili Union Version (SUV)

Lakini Daudi akakaza kufuata, yeye na watu mia nne; kwa maana watu mia mbili walikaa nyuma, ambao walitaka kuzimia hata hawakuweza kukivuka hicho kijito Besori.

1 Sam. 30

1 Sam. 30:4-13