Akafa Samweli; nao Israeli wote wakakusanyika, wakamwomboleza, wakamzika nyumbani mwake huko Rama.Kisha Daudi akaondoka, akashuka mpaka nyikani mwa Maoni.