1 Sam. 12:24 Swahili Union Version (SUV)

Mcheni BWANA tu, mkamtumikie kwa kweli kwa mioyo yenu yote; maana, kumbukeni jinsi alivyowatendea mambo makuu.

1 Sam. 12

1 Sam. 12:16-25