1 Pet. 4:6 Swahili Union Version (SUV)

Maana kwa ajili hiyo hata hao waliokufa walihubiriwa Injili, ili kwamba wahukumiwe katika mwili kama wahukumiwavyo wanadamu; bali wawe hai katika roho kama Mungu alivyo hai.

1 Pet. 4

1 Pet. 4:4-8