1 Pet. 3:7 Swahili Union Version (SUV)

Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.

1 Pet. 3

1 Pet. 3:1-9