1 Pet. 2:6 Swahili Union Version (SUV)

Kwa kuwa imeandikwa katika maandikoTazama, naweka katika Sayuni jiwe kuu la pembeni, teule, lenye heshima,Na kila amwaminiye hatatahayarika.

1 Pet. 2

1 Pet. 2:1-7