1 Pet. 2:24 Swahili Union Version (SUV)

Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa.

1 Pet. 2

1 Pet. 2:19-25