1 Pet. 2:20 Swahili Union Version (SUV)

Kwa maana ni sifa gani kustahimili, mtendapo dhambi na kupigwa makofi? Lakini kustahimili, mtendapo mema na kupata mateso, huu ndio wema hasa mbele za Mungu.

1 Pet. 2

1 Pet. 2:16-25