1 Pet. 1:17 Swahili Union Version (SUV)

Na ikiwa mnamwita Baba, yeye ahukumuye kila mtu pasipo upendeleo, kwa kadiri ya kazi yake, enendeni kwa hofu katika wakati wenu wa kukaa hapa kama wageni.

1 Pet. 1

1 Pet. 1:15-25