1 Nya. 8:38 Swahili Union Version (SUV)

naye Aseli alikuwa na wana sita, ambao majina yao ni haya; Azrikamu, na Bokeru, na Ishmaeli, na Shearia, na Obadia, na Hanani. Hao wote walikuwa wana wa Aseli.

1 Nya. 8

1 Nya. 8:31-40