1 Nya. 8:32-35 Swahili Union Version (SUV)

32. Na Miklothi akamzaa Shimea. Na hao nao walikuwa wakikaa pamoja na ndugu zao huko Yerusalemu, kuwakabili ndugu zao.

33. Naye Neri akamzaa Kishi; na Kishi akamzaa Sauli; na Sauli akamzaa Yonathani, na Malkishua, na Abinadabu, na Eshbaali.

34. Na mwanawe Yonathani alikuwa Meribaali; na Meribaali akamzaa Mika.

35. Na wana wa Mika; Pithoni, na Meleki, na Tarea, na Ahazi.

1 Nya. 8