1 Nya. 8:18-21 Swahili Union Version (SUV)

18. na Ishmerai, na Izlia, na Yobabu; walikuwa wana wa Elpaali.

19. Na Yakimu, na Zikri, na Zabdi;

20. na Elienai, na Silethai, na Elieli;

21. na Adaya, na Beraya, na Shimrathi; walikuwa wana wa Shema.

1 Nya. 8