1 Nya. 7:4 Swahili Union Version (SUV)

Na pamoja nao, katika vizazi vyao, sawasawa na mbari za baba zao, walikuwapo vikosi vya jeshi la vita, watu thelathini na sita elfu; kwa kuwa wake zao na watoto wao walikuwa wengi.

1 Nya. 7

1 Nya. 7:1-12